Maporomoko ya maji Malamba/Malamba waterfalls





Maporomoko ya maji Malamba yanapatikana katika kijiji cha Malamba kata ya Suma Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya, Maporomoko haya yanapatikana umbali wa Kilomita kumi na tano (15) kutoka Katumba. Maporomoko ya Malamba ni moja ya maporomoko yenye Muonekano wa Kupendeza na kuvutia sana

Meet Malamba falls with an impressive beautiful scenery located at Suma Malamba village 15Kms from Tukuyu town. This is the longest waterfall in Rungwe District estimated to 80m high, it is an adorable site to tourists who visit the place for excursion and exploring the nature.

Activities research, camping, exploring the nature, swimming, sport fishing, photographing, cultural tourism etc

Project: Karibu Southern Circuit Program

Locations

Drone operator: Certifiend and Licenced Drone operator Mazplusfly (Zakaria Mgala)

Pictures:Yateli Tanzania

MediaBusokelo Tv (Subscribe Busokelo Tv, ili usipitwe na habari moto moto za utalii na utamaduni pamoja na habari Zinginezo)

Book Your trip with us.
Email: chikandasafaris@gmail.com
+255 783 545 464

Things to do in Mbeya | Mbeya tourist atractions | Chikanda Safaris & AAdventure

Comments