Crater Lake Kumi na Moja (11) Za Mkoa wa Mbeya

1. Ziwa Ikapu (Ikapu Crater Lake) 
Linapatikana kijiji cha Ikapu kata ya Kambasegela Halmashauri ya Busokelo Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya.

2. Ziwa Ilamba (Ilamba Crater lake)
linapatikana Kijiji cha Ilamba kata ya Ntaba Halmashauri ya Busokelo Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya. 

3. Ziwa Itamba (Itamba Crater Lake)
Ziwa la Itamba linapatikana kijiji cha Ntapisi kata ya Lupata Halmashauri ya Busokelo wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya. 

4. Ziwa Itende (Itende Crater Lake)
Ziwa hili linapatikana kijiji cha kikulumba kata ya Lupata Halmashauri ya Busokelo wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya.ukiwa hapa unaweza kuona kreta ya Kisiba, Kyamba ngungulu, Ikapu na ilamba pia.

5. Ziwa Kingili (Kingili Crater Lake)
Ziwa hili linapatikana kijiji cha Ntaba kata ya Ntaba, Sehemu ya ziwa iko Halmashauri ya Busokelo Wilaya ya Rungwe lakini pia sehemu inapatikana Halmashauri ya wilaya ya Kyela

6. Ziwa Kisiba (Kisiba Crater Lake)
Kisiba/Masoko ni ziwa linalopatikana kijiji cha Lwifwa kata ya Kisiba Halmashauri ya wilaya Ya Rungwe Mkoa wa Mbeya.

7. Ziwa Kiungululu (Kiungululu Crater Lake)
Ziwa Kiungululu linapatikana kijiji cha Kabembe kata ya Itete Halmashauri ya Busokelo Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya.

8. Ziwa Kyamba Ngungulu. (Kyamba Ngungulu Crater Lake) 
Ziwa la Kyamba Ngungulu Linapatikana kijiji cha Mbambo kata ya Kambasegela Halmashauri ya Busokelo Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya.Ziwa hili limepungua maji na wakati wa Mvua huongezeka.
 
9. Ziwa Ngosi (Ngosi Crater Lake)
Ziwa volkeno la pili Barani Afika Mbeya vijijini na Halmashauri ya wilaya ya Rungwe, Kwa upande wa Wilaya ya Rungwe linapatikana kijiji cha Mbeye one kata ya isongole na kwa upande wa Mbeya Vijiji Linapatikana kijiji Cha Nzenga kata ya Swaya.

10. Lusiba Lwa Misi na Lusiba Lukafu
Lusiba lwa Misi ni kreta yenye maji inayopatikana Hifadhi ya Mazingira Asilia ya Mlima Rungwe kijiji cha Kabale kata ya Suma na Lusiba Lukafu ni kreta isiyo na maji inayopatikana kijiji cha Ngumbulu kata ya Isongole.

11. Ziwa Dhambwe (Dhambwe Crater Lake)
Ziwa Dhambwe lipo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Kitulo katika kijiji cha Kikondo kata ya Ilungu Mbeya Vijijini

Project: Karibu Southern Circuit Program

Drone operator: Certifiend and Licenced Drone operator Mazplusfly (Zakaria Mgala)

Pictures:Yateli Tanzania

Media: Busokelo Tv (Subscribe Busokelo Tv, ili usipitwe na habari moto moto za utalii na utamaduni pamoja na habari Zinginezo)

Book Your trip with us.
Email: uyolecte@gmail.com
+255 783 545 464

Follow us on:Twitter
Follow us on: Pinterest
Facebook acc: Uyole Cte
Blog: uyolecte.blogspot.com
Website: www.uyolecultural.com
Click Here to Follow us on Instagram
Facebook page: Uyole Cultural Tourism Enterprises

Things to do in Mbeya | Mbeya tourist atractions | Uyole cultural tourism enterprise 

Comments

  1. Hii info ni safi sana nikitaka kutembelea haya maziwa yote inakuwaje?

    ReplyDelete
  2. Uyole Cultural Tourism Enterprises: Crater Lake Kumi Na Moja (11) Za Mkoa Wa Mbeya >>>>> Download Now

    >>>>> Download Full

    Uyole Cultural Tourism Enterprises: Crater Lake Kumi Na Moja (11) Za Mkoa Wa Mbeya >>>>> Download LINK

    >>>>> Download Now

    Uyole Cultural Tourism Enterprises: Crater Lake Kumi Na Moja (11) Za Mkoa Wa Mbeya >>>>> Download Full

    >>>>> Download LINK

    ReplyDelete

Post a Comment