Heri ya mwaka mpya wapendwa!!! Naomba leo tuangazie jicho letu pale masoko. Ziwa Masoko/ kisiba linapatikana kata ya kisiba, tarafa ya pakati katika wilaya ya Rungwe mkoani mbeya, lipo umbali wa kilomita 19 kutoka tukuyu mjini pana mwendo wa takribani dakika 40 au 50 kwa gari.
Ziwa hili, lipo mkono wa kulia kama unakwenda lwangwa, lufilyo au ntaba kabla hujafika mbambo hata uwapo ndani ya gari waweza kuliona japo si vizuri sana kutokana na uwepo wa kimsitu, ni sehemu tulivu sana iliyozungukwa na kamsitu kadogo kenye nyani wazuri ndani yake, halina utofauti sana na kiungululu japo hili ni pana zaidi.
Inasemekana wajerumani walipokuwa wakifukuzwa na waingereza walitupa pesa na baadhi ya vitu vya thamani katika vita ya kwanza ya dunia.
Bwana Benson Mwaipopo ambae amekulia hapa alikuwa na mengi ya kutueleza alisema kisiba ilikuwepo hata kabla yeye hajazaliwa, palikuwa na vituo au sehemu za kuogea kama ifutavyo kulikuwa na sehemu ya masoko, resthouse ,lwifwa ,mibula na sehemu zingine lakini hizo sehemu zilikuwa maarumu kwa sababu zilifanyiwa uchunguzi zikaonekana zina kina kifupi cha maji.
Sehemu iliyokuwa na kina kifupi zaidi ni sehemu ya lwifwa ambako pia kabla hujafika majini kuna sehemu ina uwanja hapo ndipo wazungu walikuwa wakija kutarii na kufanya uchunguzi wao, na huwa wanafikia eneo hilo la lwifwa
Eneo la bomani ndiko yanapatikana makaburi matatu na makaburi hayo yapo kwa ajili ya ukumbusho kwamba kuna wajerumani walikufa maeneo hayo walipokuwa wanaondolewa na wakoloni na
Inasemekana kwamba katikati ya kina cha maji pana joka kubwa sana lipo chini ya maji na chungu kimoja pamoja na sanduku lililo jaa Rupia kama tujuavyo rupia ni kitu kimoja cha ajabu sana inasomekana inatumika kwa waganga wa kienyeji na huwa kama majini
Mnamo mwaka 1996 mwezi wa 8 wazungu walikuja kufanya utafiti wao waliweka mashine zao katikati ya maji ili kuweza kufanikisha kuchukua sanduku lililopo hapo, wakamtuma mzungu mmoja kati yao azame chini akaangalie atafunga vipi lile box la rupia ili waweze kulivuta, alijaribu kushuka chini akashimdwa alikuwa anaitwa Mark akaleta picha alizopiga pale chini na udongo alioleta kiujumla pana maajabu sana.
Ifikapo saa 12 jioni katikati ya bwawa huwa panatokea mstari mmoja unaotoka lwifwa kuelekea bomani usawa yaliko makaburi yale matatu. Huwa unakimbia kwa kasi ya ajabu ukizubaa huwezi ukauona unakuta tayari umejigawa unabaki kushangaa upande kunakuwa na mawimbi na upande. kunakuwa na maji yaliyotulia bila hata chembe ya wimbi upande huo ambao hauna mawimbi kunakuwa na samaki sana japo ni vile vidogo vidogo ila vitamu sana basi upande wa pili huwa hawapatikani kwa wingi
Haya ni machache tuliyokuletea, tunaamini yapo mengi sana kutoka kwenu, tunaomba u comment kile unachokifahamu juu ya kisiba ili sisi na wengine wajifunze kupitia wewe.
Kwa safari (tour)/maelezo/masimulizi/habari za kitalii na utamaduni wasiliana nasi UYOLE CULTURAL TOURISM ENTERPRISES. 0783545464/0766422703

Uyole Cultural Tourism Enterprises: Ziwa Masoko/ Kisiba (Masoko/Kisiba Crater Lake) >>>>> Download Now
ReplyDelete>>>>> Download Full
Uyole Cultural Tourism Enterprises: Ziwa Masoko/ Kisiba (Masoko/Kisiba Crater Lake) >>>>> Download LINK
>>>>> Download Now
Uyole Cultural Tourism Enterprises: Ziwa Masoko/ Kisiba (Masoko/Kisiba Crater Lake) >>>>> Download Full
>>>>> Download LINK