
Uzinduzi wa Bango linalotangaza vivutio vilivyopo katika maeneo ya Hifadhi za Taifa, Mapori ya Akiba na makumbusho ya Taifa
Balozi Dkt Pindi Chana Waziri wa Maliasili na Utalii alipotembelea Banda la Uyole Cultural Tourism Enterprise
Afisa Utalii bodi ya utalii kanda ya Nyanda za juu kusini Hoza Mbura akimuelezea Balozi Dkt Pindi Chana alipotembelea banda la wizara ya Maliasili na utalii.
Dkt Oswald Jotam Masebo wakati wa uzinduzi wa bango la Msitu wa Asili wa Nyumbanitu
Kamishna wa Uhifadhi, Wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS)Prof. Dos Santos Silayo alipotembelea banda la Uyole cultural tourism enterprise
Kamishna wa Uhifadhi, Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) William Mwakilema alipotembelea banda la Uyole cultural tourism enterprise

Balozi Dkt Pindi chana amezindua mikakati miwili (2) ya kutangaza Utalii na Utamaduni kanda ya Kusini inayotekelezwa na mradi wa kuboresha usimamizi wa maliasili na kukuza utalii kusini mwa Tanzania (REGROW)
Mipango mikakati hiyo ni Tanzania southern circuit marketing and promotion strategy na Tanzania cultural tourism experience marketing strategy.
Uzinduzi huu umehudhuliwa na wageni mbalimbali wakiwemo, Wakuu wa mikoa ya kusini, Mabalozi, Wabunge, wadau wa utalii Nk
Comments
Post a Comment