Safari ya Pori La Akiba la Mpanga Kipengele/Maporomoko ya Maji Kimani

Watalii wakifurahia Kuogelea kwenye maanguko ya Maji ya Kimani (Kimani Waterfalls)

Moja ya Shughuli tulizozifanya katika safari yetu ni upandaji wa miamba (Rock Climbing Experience) 






Safari ya  Kitalii kutoka Mkoani Mbeya hadi Katika Pori la akiba la Mpanga Kipengele iliyoandaliwa na Uyole Cultural Tourism Enterprise ikijumuisha watalii Mbalimbali kutoka katika mikoa ya Nyanda za juu kusini mwa Tanzania.

Katika safari hii watalii waliweza kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo vivutio vya kitalii vya mkoa wa Mbeya pamoja na fursa za uwekezaji katika sekta ya utalii.

Baada ya kufika Katika pori la akiba la Mpanga Kipengele lililopo kati ya mikoa ya Njombe na Mbeya tulikutana na Askari wa Tawa Leonard Nsajigwa ambae alitupa masimulizi mbali mbali ikiwemo pango la Maficho ya Chief Mkwawa.

Maporomoko ya Maji ya Kimani yana mvuto wa pekee sana ambao unaweza kukuvutia pindi utembeleapo, utaweza kufanya shughuli mbalimbali kama Kupiga picha (Photoshoot), kufanya tafiti (Research), Harusi (wedding) N.K

Photo Credit: Photo bank studios

Book Your trip with us.
Email: uyolecte@gmail.com
+255 783 545 464

Follow us on:Twitter
Follow us on: Pinterest
Facebook acc: Uyole Cte
Blog: uyolecte.blogspot.com
Website: www.uyolecultural.com
Click Here to Follow us on Instagram
Facebook page: Uyole Cultural Tourism Enterprises

Things to do in Mbeya | Mbeya tourist atractions | Uyole cultural tourism enterprise 


Comments