Wanafunzi wa Field Kutoka UDOM watembelea Vivutio vya Kitalii Mbeya

Asubuhi na mapema tukitoka Kisiba Campsite tukielekea Ziwa Kiungululu, tuliwahi ili kuweza kupata picha mbalimbali za kuchomoza kwa jua
Wanafunzi wakiogelea 


Uongozi wa Uyole Cultural Tourism Enterprise uliwapokea Wanafunzi Kumi (10)wa mazoezi (Field Practical training) kutoka chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wanaosomea kozi ya Bachelor of Art in History ambao waliweza kujifunza mambo mengi sana kutoka kwetu.

Katika muda wao wa Mazoezi tulifanya ziara ya siku 4, ambapo tuliweza kutembelea Daraja La Mungu, Maporomoko ya Maji Kapologwe, Kisiba Campsite, Kiungululu Crater, Ikapu Crater Lake, Gwankaja Farm Lodge ambapo waliweza kupata elimu juu ya uzalishaji Kokoa na Kingili Crater lake

Safari hii iliweza kuwaonesha fursa mbalimbali zilizopo katika Tasnia ya Utalii

Photo Credit: Mazplusfl & Photobank studio

Karibu Mbeya | Karibu Tanzania
Help us to share with your friends, For more tourism updates follow us on the following social networks
Follow us on:Twitter
Follow us on: Pinterest
Facebook acc: Uyole Cte
Blog: uyolecte.blogspot.com
Website: www.uyolecultural.com
Click Here to Follow us on Instagram
Facebook page: Uyole Cultural Tourism Enterprises

Things to do in Mbeya | Mbeya tourist atractions | Uyole cultural tourism enterprise  

Comments