NAAZAH GROUP WATEMBELEA MAPOROMOKO YA MAJI KIMANI/NAAZAH GROUP VISITS KIMANI WATERFALLS

Naazah Group Wakiwa Ndani ya Hifadhi ya pori la akiba la mpanga kipengele, na nyuma yao ni Maporomoko ya Maji ya Kimani.


Naazah Group Ni platform inayowezesha mtu mwenye ndoto za kua mjasiliamali kuanza, kukuza na kuendeleza biashara atakayoianzisha 
  • inamkutanisha na wateja kutoka mikoa mbalimbali Tanzania.
  • Inampa elimu mbalimbali ikiwemo ya ujasiliamali maendeleo binafsi (Personal improvement) pia elimu ya kuweka akiba na kuwekeza kupitia hati Fungani na mabenki.
  • Inampa nafasi ya kuwa kwenye  vikundi vidogo vidogo vya kukopa na kukopeshana ili kukuza Mitaji.
Jumamosi ya Tarehe 01/10/2021 tulifanya safari ya kutembelea pori la Akiba la mpanga kipengele, ambapo wageni walifurahia mandhari nzuri ya ya kuvutia, moja ya vitu vya kuvutia ilikuwa ni wakati wa kupanda kwenye ile miamba na kuvuka sehemu kadhaa za mto, ilikuwa ni moment ambayo kila mmoja anasema hatakaa akaisahau.

Karibu Mbeya | Karibu Tanzania

Help us to share with your friends, For more tourism updates follow us on the following social networks
Follow us on:Twitter
Follow us on: Pinterest
Facebook acc: Uyole Cte
Blog: uyolecte.blogspot.com
Website: www.uyolecultural.com
Click Here to Follow us on Instagram
Facebook page: Uyole Cultural Tourism Enterprises

Things to do in Mbeya | Mbeya tourist atractions | Uyole cultural tourism enterprise  


 

Comments