Ziwa Nyasa ni Moja ya
maziwa Makubwa Afrika Mashariki, Maziwa mengine ni pamoja na Ziwa Victoria na
Ziwa Tanganyika. Ukiwa Malawi ziwa Nyasa linafahamika kama Ziwa Malawi na Ukiwa
Msumbiji Ziwa Nyasa Linafahamika kama Niassa.
Ziwa
Nyasa linasifika kwa kuwa na aina nyingi sana za Samaki, Inakadiliwa Kuwa kuna
aina zaidi ya elfu Moja na Miatano (1500)
Halmashauri ya Wilaya
ya Kyela mkoani Mbeya imebarikiwa kuwa na fukwe za asili katika Ziwa
Nyasa, Siku ya leo tunakupeleka katika fukwe za Matema.
Uwapo Matema utapata
kuona muonekano mzuri wa Safu za Milima Livingstone, Shuguri mbalimbali za
kitamaduni ikiwemo uuzaji wa Vyungu vinavyotengenezwa na Wakisi kule Ikombe,
Uvuvi wa samaki na dagaa, Kuogelea, Kubalizi upepeo mwanana N.K
Lengo la leo ilikuwa ni kuonesha Fukwe za Ziwa Nyasa upande wa Matema, Makala yenye undani wa Ziwa Nyasa itakujia....
Follow us on: Pinterest
Facebook acc: Uyole Cte
Blog: uyolecte.blogspot.com
Website: www.uyolecultural.com
Click Here to Follow us on Instagram
Facebook page: Uyole Cultural Tourism Enterprises
Things to do in Mbeya | Mbeya tourist atractions | Uyole cultural tourism enterprise
Comments
Post a Comment