Msimu wa Saba wa MajiMaji Selebuka 2021




 Msimu wa saba wa Tamasha la Majimaji Selebuka 2021, Tamasha hili litafanyika katika viwanja vya Mashujaa Mjini songea ambapo tarehe 24 na 25 mwezi wa nne litazinduliwa uzinduzi huu utapambwa na Ngoma za Asili pamoja na Mbio za Baiskeli wa kujifurahisha.

kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na uongozi kupitia namba 0719 35 36 33 au 0757 251 740

Comments