Muonekano wa Maporomoko ya Maji ya Nhumbe
Macho yote juu kutazama jicho la Drone Conservation officer II Paschal Makumbule, Conservation Ranger Christina Laizer, Certified and Licenced Drone operator Zakaria Mgalla, Information Officer Uyole cultural tourism enterprise Ayubu Mwakinunu.
Wadau wakishuka ngazi kuelekea yalipo maporomoko ya Maji ya Nhumbe


Maporomoko ya
Maji ya Nhumbe (Nhumbe Waterfalls) ni moja ya Vivutio vikubwa katika Hifadhi ya
Taifa ya Kitulo (@kitulo_national_park), Maporomoko
haya yanakadiliwa kuwa na urefu wa Mita
mia moja na mbili (102). Hifadhi ya taifa kitulo inapatikana katika
mikoa ya Njombe na Mbeya nchini Tanzania.
Maporomoko
haya yapo umbali wa Kilomita ishirini na moja (21) Kutoka zilipo ofisi za
kitulo kwa upande wa mwakipembo (Mwakipembo Main Gate), Inasemekana mto huu
wenye maporomoko ya Maji ya Nhumbe ni moja ya mito muhimu sana inayokwenda
kumwaga maji yake katika Mto Ruaha Mkuu.
Moja ya vitu
vya kuvutia ni uwapo Nhumbe picnic site utapata kuona Milima na mabonde yenye
kuvutia yakipambizwa na sauti kali ya maji yanayo anguka, utapata bahati ya
kushuka ngazi 748 (Kitu ambacho ni kizuri kwa wapenzi wa Hikking, Adventures na
wanamazoezi)
About 21km from
Mwakipembo main gate in Kitulo national park ( @kitulo_national_park ) this fall drops water from its river
approximately 100m high and it is considered as one of the main tributaries of
the Great Ruaha river often referred as "Jewel of the park".
It takes one hour to walking down the waterfall
and up to the picnic site using stairs (748)
This place is very attractive most visitors cool
theirbodies and take brilliant photos.
Photo Credit: Mazplusfly and Photobank studio
Makala:Chikanda Safaris & Adventure
Karibu Mbeya | Karibu Tanzania
Help us to share with your friends, For more tourism updates follow us on the following social networks
Things to do in Mbeya | Mbeya tourist atractions | Chikanda Safaris & Adventure
Comments
Post a Comment