MEGA TOUR BY MBEYA BOY

Kisiba Campsite

Kapologwe waterfalls


Kapologwe waterfalls


Kapologwe waterfalls


Kiwira God's Bridge





Masoko Germany Ruins

Ni miongoni mwa safari kubwa za kitalii, iliyohusisha kutembelea vivutio vya kitalii vitatu Ikiwemo 

Daraja La Mungu Kiwira, ambapo watalii waliweza kufika kwenye kivutio hiki na kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo asili ya Daraja La Mungu pamoja na shughuri za kitalii zinazoweza kufanyika kwenye kivvutio hiki

 Maporomoko ya Maji Kapologwe, pamoja na Kisiba Campsite.

Safari hii iliandaliwa na Mbeya Boy brand, kuongoza watalii Uyole cultural tourism enterprise, Picha zilipigwa na Legends Photographer, Muongoza drone Mazplusfly.

Book Your trip with us.
Email: uyolecte@gmail.com
+255 783 545 464

Follow us on:Twitter
Follow us on: Pinterest
Facebook acc: Uyole Cte
Blog: uyolecte.blogspot.com
Website: www.uyolecultural.com
Click Here to Follow us on Instagram
Facebook page: Uyole Cultural Tourism Enterprises

Things to do in Mbeya | Mbeya tourist atractions | Uyole cultural tourism enterprise  

Comments