Maji Moto Songwe/ Songwe Hotsprings








Chemchem ya Maji Moto Songwe ni moja kati ya vivutio vya kitalii ambavyo hupaswi kukosa kutembelea pindi utembeleapo vivutio vya Nyanda za Juu Kusini hususani mkoa wa Songwe, Nyuzi joto la maji haya ni kati ya sentigredi 55-80, utembeleapo mahala hapa zipo shughuri mbalimbali unaweza kufanya ikiwepo kuchemsha mayai ama viazi ambayo huchukua takribani dakika 20-45 yakawa yameiva tayari kwa kula. Pia uwapo katika sehemu huu kuna mandhari nzuri na ya kuvutia, ambapo unaweza kuona uzuri wa Mto Songwe, Milima pamoja na Bonge la Ufa kuu. Wataalam pia husema maji haya ni mazuri pia kwa watu wenye magonjwa ya Ngozi kutokana na uwepo wa Madini mbalimbali.

One among the must visit tourist attractions found in Songwe region, The Songwe River thermal area includes several hot springs that discharge water at a temperature of 55-80 °C Set in the Travertine Mining, there are several activities can be done around the area like Boiling eggs/ Potatoes that takes around 20–45 Minutes ready for eating, View the beautiful sceneries, Hill, Mountains, the great Rift Valley and see the Songwe River.

Best Time to visit
You can visit the spring the whole session of the year though March to June it’s a rain session.

Project Name Karibu Southern Circuit

Photo Credit: ThatMbeyaguy   Article: Uyole cultural tourism enterprise  Video: Mazplusfly

Help us to share with your friends
Book Your trip with us.
Email: uyolecte@gmail.com
+255 783 545 464

Twitter :Uyolecte
Facebook acc: Uyole Cte
Blog: uyolecte.blogspot.com
Website: www.uyolecultural.com
Click Here to Follow us on Instagram
Facebook page: Uyole Cultural Tourism Enterprises

Things to do in Mbeya | Mbeya tourist atractions | Uyole cultural tourism enterprise  

Comments