KARIBU SOUTHERN CIRCUIT CAMPAIGN




Karibu southern Circuit Ni kampeni iliyojikita katika kuibua, Kuhifadhi na kutangaza vivutio vya kitalii pamoja na Tamaduni za watu wa Nyanda za Juu Kusini Mwa Tanzania Kupitia Makala, Picha na video, Kwa kuanza kampeni hii tumeanzia Mbeya vijijin na Mkoa wa Songwe fuatana nasi kufahamu mambo mbalimbali..

Makala Uyole Cultural Tourism Enterprise, Picha ThatMbeyaGuy Video Mazplusfly

“Karibu” is a Swahili word that means welcome therefore “Karibu southern circuit” means welcome to southern circuit. Is the domestic tourism campaign that aims at Identifying, documenting, advertising, educating and build a worldwide recognition of tourist Attractions found in southern circuit, positioning the circuit as a must visit tourism destination and ensure it remains the preferred holiday destination. The campaign motto is “Re-start your engine”



Comments