Daraja La Mungu Izumbwe/ Izumbwe God's Bridge.

 Muonekano wa Maji yakivuka Daraja La Mungu Izumbwe

 Muonekano wa Mwamba wa Mawe Katika Daraja la Mungu Izumbwe

Muonekano wa Juu wa Daraja La Mungu Izumbwe

 Namna Daraja Linavyoonekana 


Zaka akiendelea kuchukua matukio mbalimbali wakati wa zoezi letu.

Daraja la Mungu Izumbwe ni moja kati ya vivutio vipatikanavyo Wilaya Mbeya vijijini katika kijiji cha Izumbwe Mkoani Mbeya Daraja hili linaunganisha pande mbili za Mto Mbalizi, Wenyeji huita Daraja La Mungu hii yote ni kutokana kwamba limeundwa na Mungu hakuna binadamu yeyote aliyehusika katika kulijenga, mfano kusogeza mawe, kulete mchanga, kulete Nondo NK. limeundwa kwa mwamba wa mawe tu

Daraja hili kuweza kufika hapa unafika mbalizi kisha unakunja katika njia ielekeayo Umalila, ukifika katika kanisa la moravian usharika wa Izumbwe kuna njia ielekeayo kushoto mbele kidogo ndipo lilipo daraja hili.

Katika daraja hili magari ya aina zote hupita ambayo ni makubwa kwa madogolakini cha kushangaza madereva wengi wanapopita hapa hawajawahi kujua ni Daraja La Mungu hudhani ni Daraja la Kujengwa

Msimu Mzuri Wa Kutembelea

Daraja hili linafikika msimu yote ya Mwaka japokuwa kuanzia mwezi wa tatu hadi wa sita huwa kuna mvua.

Daraja la Mungu (Swahili) or God's bridge in English is a large natural bridge that connect the two banks of Mbalizi river that was naturally formed without any human engineering and yet remained ironic stronger till today, Despite not being engineered to do so, the bridge can withstand large loads such as Motorcycle, vehicles and etc.. It’s found in Izumbwe village Mbeya rural district. IZUMBWE GOD'S BRIDGE  have a clear surface that allows cars/vehicles to pass on it, Share with friends to let them know about this newly discovered Gods Bridge.

Best time to visit

You can Visit the Bridge at any time during the year though from March to June there is rain.

Project Name Karibu Southern Circuit

Photo Credit: ThatMbeyaguy   Article: Uyole cultural tourism enterprise  Video: Mazplusfly

Help us to share with your friends

Book Your trip with us.
Email: uyolecte@gmail.com
+255 783 545 464

Twitter :Uyolecte
Facebook acc: Uyole Cte
Blog: uyolecte.blogspot.com
Website: www.uyolecultural.com
Click Here to Follow us on Instagram
Facebook page: Uyole Cultural Tourism Enterprises

Things to do in Mbeya | Mbeya tourist atractions | Uyole cultural tourism enterprise  

Comments