MTOA HUDUMA BORA WA TATU KATIKA MAONYESHO YA MAJIMAJI SELEBUKA FESTIVAL 2018





Uongozi wa uyole cultural tourism enterprise unapenda kutoa shukrani za dhati kwa wadau wote ambao mmekuwa pamoja nasi kwa nyakati zote, tufurahi pamoja maana tumetunukiwa Tuzo "kipengele cha mtoa huduma bora wa tatu (3)" katika maonyesho ya Majimaji selebuka Festival 2018 yaliyofanyika katika mkoa wa Ruvuma kuanzia tarehe 14/07/2018 mpaka tarehe 21/07/2018

Comments