Haya ni mapolomoko yanayopatikana katika safu za milima ya Livingstone karibu kabisa na ziwa Nyasa wilayani kyela mkoa wa Mbeya, Mto huu humwaga maji yake ziwa Nyasa, ni kati ya mapolomoko marefu sana na yenye muonekano wa kipekee nyanda za juu kusini mwa Tanzania, mapolomoko haya yamezungukwa na miamba yenye rangi yenye mng’ao, maji masafi kwa matumizi ya aina yoyote na milima yenye nyasi fupifupi na miti michache. Muonekano huo huliweka eneo hilo kuwa eneo zuri la kuvutio sana,.
Sehemu hii ina swimming pool ya kuvutia sana ambayo kina chake ni cha kati, hivyo ni sehemu salam sana kwa kuogolea.
Phone: 0756929868/ 0625747086
Email: uyolecte@gmail.com
instagram: uyoleculturaltourismenterprise
Facebook page: Uyole Cultural Tourism Enterprises
Facebook acc: Uyole Cte
Blog: uyolecte.blogspot.com
Visit our office Located at Uyole ya Kati Mbeya.
Email: uyolecte@gmail.com
instagram: uyoleculturaltourismenterprise
Facebook page: Uyole Cultural Tourism Enterprises
Facebook acc: Uyole Cte
Blog: uyolecte.blogspot.com
Visit our office Located at Uyole ya Kati Mbeya.
Comments
Post a Comment