Ni moja kati ya sehemu ambayo unaweza kupata masimulizi halisi ya kihistoria ya maisha ya Mtwa Mkwawa kutoka kuzaliwa mpaka kufa kwake, Masimulizi haya yanatolewa na Kitukuu cha Mkwawa katika Makumbusho ya Kalenga. Lakini pia tulitumia nafasi hii kuweza kujadili namna ya kutunza na kuendeleza utalii wa Nyanda za Juu kusini mwa Tanzania.

Comments
Post a Comment