MAPOROMOKO YA MAJI KAPIKI/ KAPIKI WATERFALLS

Maporomoko ya maji Kapiki yanapatikana Mkoani Mbeya katika Wilaya ya Rungwe kijiji cha Mboyo, Ni moja kati ya vivutio vikubwa na vizuri sana lakini havijatangazwa ili kufahamika kwa wadau, ungana na UYOLE CULTURAL TOURISM ENTERPRISES katika kampeni yetu endelevu ya kutangaza na kuelimisha uma juu ya vivutio mbali mbali vya kitalii vipatikanavyo mkoani Mbeya.

Maporomoko haya yanapatikana katika mto uliobeba maajabu kadhaa ikiwemo Daraja la Mungu Kiwira, Kijungu Jiko, N.k kuanzia katika chanzo chake mpake unapo mwaga maji yake ziwa Nyasa si mwingine ni Mto Kiwira.

Kwa kutizama kwa macho twaweza kusema yakawa ndio maporomoko marefu kwa Wilaya ya Rungwe (japo haijathibitishwa kitaalam) kutokana kwamba ukiyatizama yanayazidi yale ya Malasusa, na Kaporogwe pia. Kwa mujibu wa mwenyeji wetu alisema inasemekana nyuma ya poromoko hili kuna shimo (pango) ambalo linakwenda umbali Fulani japokuwa yeye hajawahi kuingia.

Kuna sehemu nzuri ya kuangalizia hasa kipindi ambacho si cha mvua kwani kipindi cha mvua maji hupita sehemu hiyo, lakini pia hali ya hewa safi na mwanana

Shukrani za dhati kwa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe kupitia kitengo cha utalii, kwa ushirikiano mkubwa mliotupa na hata kufanikisha hili. Tuwaombe wadau kushare post hii ili iweze kuwafikia Ndugu jamaa na marafiki zetu, karibu sana mkoa wa Mbeya.


For details and booking, contact the tour coordinator through;
Mobile: +255 (0) 783545464/766422703
Email: uyolecte@gmail.com, Blog: uyolecte.blogspot.com
Facebook: www.facebook.com/uyoculturaltourismenterprises
Instagram: @uyoleculturaltourismenterprise



Comments

  1. The gorgeous post learned a great deal Thanks greatly!

    click here

    ReplyDelete
  2. Reservations.com
    Great post! So glad I found your website
    Hi, It’s really nice to visit on your Blog. You have well maintain your Blog. Which is really appreciable according to me. Thanks you so much for a great Blog & great post too

    ReplyDelete
  3. Thanks for giving the most beneficial travel updates. Taj Mahal Tour By Car and A.C cabs in India.  

    ReplyDelete
  4. Hi,

    this is very much Wonderfully detailed site. it is very helpful.i have a Travel Agency
    that may help you With deals from over 450 airlines,
    You won't need to go anywhere else.

    ReplyDelete
  5. Thank you so much to shared the wonderful attraction points - Golden triangle tour 6 days enjoy the beautiful travel updates.

    ReplyDelete

Post a Comment