Photos: MATEMA BEACH EASTER TOUR







Safari hii tulipita daraja la Mungu kiwira, Chai fm radio tulikuwa na kipindi cha kuhamasisha utalii, na baadae tukaelekea ziwa nyasa (matema lake shore) walioshiriki ni Rehema stanford, Leonard balo, Francis mkokwa, Joseph Legembo, Abigail cleopa, bryan Mushi

Comments