Baadhi ya washiriki wa mashindano ya baiskeli wakiwa katika picha ya pamoja
Mashindano yaliyokuwa yameandaliwa na Chama cha baiskeli mkoani Iringa yaliyofanyika jumapili tarehe 28/06/2015 kwa kuendesha km 120, kutoka Samora kwenda ilula, kutoka ilula kurudi samora kisha kuelekea Nduli na kurudi Samora walipokuwa wameanzia.
Mashindano haya yalihusisha washiriki 28 kutoka mikoa 7 ya Tanzania ambayo ni wenyeji iringa, dar es salaam, dodoma, mbeya, morogoro, njombe na ruvuma....
Baadae washindi wa tatu bora wakawa ni 1. Maurid kutoka Dar es salaam? 2. Elias kutoka Mbeya na 3. Diego kutoka Mbeya.
Shukrani za dhati kwa raisi wa chama cha baiskeli taifa Godfrey mhagano, mwenyekiti wa chama cha baiskeli iringa Joseph Luwago na mratibu wa mashindano Ipyana Mbogela na waandaaji wote pia wadhamini wa mchezo SALIM ASAS, MAIKO MLOWE na FAMARY
Comments
Post a Comment