Chama cha baiskeli mkoani iringa wameandaa mashindano ya baiskeli yatakayofanyika siku ya jumapili tarehe 28/06/2015 katika mkoa huo.
Mashindano haya yanahusisha mikoa saba (7) ambayo ni wenyeji iringa, dar es salaam, dodoma, mbeya, morogoro, njombe na ruvuma. Ukiwa kama mdau unakaribishwa sana ili kuweza kushiriki na kutazama mashindano haya. Tutawafahamisha kila kitakachojili kupitia ukurasa wetu.
Twawatakia kila lakheri wachezaji wote. Bendera ya mbeya inapeperushwa na christopher, elias, zombi na diego.kwa mawasiliano zaidi wasiliana na ipyana mbogela 0755438728 mratibu wa mashindano.

Raisi wa chama cha baiskeli Tanzania bwana Godfrey Jacks Mhagano na mwenyekiti wa chama cha baiskeli iringa bwana Joseph Luwago wanatoa mwaliko kwa wakazi wote kufika katika eneo la samora mashindano yatakapoanzia.
Mwendesha baiskeli eliasi akiwa mkoani Iringi tayari kwa mashindano.
Comments
Post a Comment