Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Dkt Pindi ChanaMkurugenzi Tulia Trust, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini akikagua mabanda ya wajasiliamali
Tamasha la utamaduni la Tulia Traditional dances festival lililofanyika kwa siku tatu (03) kuanzia tarehe 22- 24 katika Uwanja wa ndege wa zamani Mkoani Mbeya, Tamasha hili la ngoma za jadi lililoandaliwa na Tulia Trust chini ya Mkurugenzi wake Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini DR. Tulia Ackson Mwansasu.
Tamasha hili la utamaduni linajumuisha Mashindano ya Ngoma za jadi pamoja na Mashindano ya mapishi ya Vyakula vya Asili, Akitaja majina ya Washindi wa mapishi Jaji Arthur Kasiba, siku ya kwanza mshindi wa tatu Bahati swebe, mshindi wa pili Catherin Lugano, Mshindi wa kwanza Ndigwako Songa, Siku ya pili Mshindi wa Tatu Elimina ngimba, Siku ya Pili mshindi wa tatu Brandina mwakipesile, Mshindi wa Kwaza Feda Mukula, mshindi wa tatu Hapness Mbogo, Stela Nerson kwanza Victoria Nyandindi waliojizolea zawadi kemkem ikiwemo Mtungi wa gesi, jiko la gesi pamoja na fedha Taslim.
Wakati huo washindi wa Ngoma za jadi wamejishindia Pikipiki pamoja na pesa taslim
Yaani kati ya kitu Bora kufanyika ktk sekta ya utamaduni Ni hii kitu. Hongera sana.natamani matamasha haya yafanyike Kila mkoa
ReplyDelete