Picha: Muonekano wa Round about ya Makambako




Halmashauri ya Mji wa Makambako inapatikana mkoa wa Njombe Nyanda za juu kusini Mwa Tanzania, Katika picha ni muonekano wa Round About ya Makambako, ambapo Njia moja ni ile ielekeayo Mkoa wa Mbeya na songwe kisha kuelekea katika Mipaka ya Nchi za Malawi na Zambia, Barabara nyingine ni ile ielekeayo Mkoa wa Iringa na kundelea Dodoma ama morogoro, na barabara inyingine ni ile ielekeayo Mkoa wa Ruvuma.

Book Your trip with us.
Email: uyolecte@gmail.com
Whatsap/ Sms/ Call +255 783 545 464

Follow us on:Twitter
Follow us on: Pinterest
Facebook acc: Uyole Cte
Blog: uyolecte.blogspot.com
Click Here to Follow us on Instagram
Facebook page: Uyole Cultural Tourism Enterprises

Things to do in Mbeya | Mbeya tourist atractions | Uyole cultural tourism enterprise

Comments

Post a Comment