Mbeya: Mafunzo kwa watoa huduma za utalii nchini kuhusu mwongozo wa kukabiliana na Uviko 19 katika sekta ya Utalii
Aliyesimama katikati ni Mgeni Rasmi katika ufunguzi wa Mafunzo kwa watoa Huduma za utalii mkoani Mbeya, Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya Dkt. Salum Manyata, (kushoto) kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo Cha Taifa Cha Utalii Dkt. Shogo Mlonzi Sedoyeka (kulia)Kaimu Katibu Tawala msaidizi uchumi na uzalishaji Mkoa wa Mbeya David Mulabwa.
Mafunzo haya yanatoleea katika Mikoa nane (8) Ambayo ni pamoja na Mbeya, Iringa, Ruvuma, Mara, Lindi, Mtwara, Njombe na Mwanza.
Mkufunzi Edwin Mwakipunda akitoa mada ya Tourism products and Guiding Skills.
Mafunzo haya yana tolewa na Wizara ya Maliasili na Utalii Kupitia Chuo Cha taifa cha Utalii katika ukumbi wa Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA - Mbeya), yamehudhuriwa na wadau mbalimbali katika mnyororo wa Utalii na Ukarimu kuanzia Tarehe 28/02/2022 mpaka Tarehe 04/03/2022
Mada zilizofundishwa ni pamoja na Customer Care and team Building, Hygiene and safety in hotel lodges, guest houses and pubs in the era of Covid 19, Professional communication in service industry, Business creativity and Upselling, Tourism products and guiding Skills, Service procedure and Etiquettes, Services procedure and Etiquettes in the era of Covid 19 and Etc
Mafunzo haya yametolewa na wakufunzi mbalimbali kutoka chuo cha Taifa cha Utalii wakiwemo Brian Lukumay, Emanuel Lendii, Giara Bahai, Perpetua Ishika, Musa Bajuni, Edwin Mwakipunda, Domina Hugo na Pendo Kyando
Picha na Kelvin Jm
Mafunzo mazuri kwa maendeleo ya Utalii Kusini
ReplyDeleteElimu Safi imetolewa hapa
ReplyDelete