Maporomoko ya maji Isabula/ Isabula waterfalls






Maporomoko ya maji ya Isabula yanapatikana Katika kijiji cha Isabula kata ya Kisiba, Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe umbali wa Kilomita Kumi na Moja (11) kutoka Kisiba Campsite Hivyo kwa mgeni atembeleaye Kisiba Campsite anaweza kufanya matembezi ya mguu, kutalii kwa pikipiki ama kwa gari mpaka yalipo maporomoko ya Maji ya Isabula.

Maporomoko haya ya Isabula yanapatikana katika Mto Mwalisi ambao ni miongoni mwa Mito Minne Mikubwa inayo anzia Wilaya ya Rungwe na kumwaga maji yake katika Ziwa Nyasa, Mito mingine ni Pamoja na Mto Kiwira, Mto Mbaka na Mto Lufilyo.

Muonekano wa maporomoko haya kwa haraka haraka unafanana na maporomoko ya Maji Kapologwe, Kwanza kabisa ni muonekano wake wa mwamba utofauti ni kwamba uwapo isabula hauingii ndani ya pango kama Kapologwe, Pili ni msitu uliozunguka Eneo la maporomoko.

Project: Karibu Southern Circuit Program

Locations

Drone operator: Certifiend and Licenced Drone operator Mazplusfly (Zakaria Mgala)

Pictures:Yateli Tanzania

MediaBusokelo Tv (Subscribe Busokelo Tv, ili usipitwe na habari moto moto za utalii na utamaduni pamoja na habari Zinginezo)

Book Your trip with us.
Email: uyolecte@gmail.com
+255 783 545 464

Follow us on:Twitter
Follow us on: Pinterest
Facebook acc: Uyole Cte
Blog: uyolecte.blogspot.com
Website: www.uyolecultural.com
Click Here to Follow us on Instagram
Facebook page: Uyole Cultural Tourism Enterprises

Things to do in Mbeya | Mbeya tourist atractions | Uyole cultural tourism enterprise 

Comments

Post a Comment