Uyole cultural tourism katika Vibebeshi vya mabasi ya New force





Kwa wale wapenzi wa Mabasi ya New Force, Tumekuja na hii uyole cultural tourism enterprise katika harakati za kutangaza utalii wa nyanda za juu kusini kuanzia j3 tutakuwa katika moja ya kurasa za muonekano mpya wa ticket za newforce.

Karibu ujipatie fursa ya kutangaza Matangazo yako ya kibiashara kwa kupitia Vibebeo vya tiket (Ticket Jacket) za mabasi pendwa ya NEW FORCE na kuwafikia wastani wa wasafiri 2700 kwa wiki moja kwa gharama nafuu kabisa.

Kampuni hii pendwa ya mabasi ya Newforce, hufanya safari zake kila siku katika mikoa ya nyanda za juu kusini ikiwemo Mbeya, Songwe, Ruvuma na Rukwa, na kwa kupitia mikoa ya Morogoro, Iringa na Njombe. Hubeba wastani wa abiria 300 kwa siku kutokea Dar, kwa mabasi 12 hivyo kufanya jumla ya mabasi 24 kwenda na kurudi, yanayoenda ruti 5 za mikoa hiyo kila siku.


Hivyo, ukipata nafasi ya kutangaza katika moja ya kipande cha Ticket jacket hizo, utakuwa umefanikiwa kutangaza na kuwafikia takribani watu 300 kwa siku, na kwa wiki 2,700.

Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia simu +255758487173

Comments