Uongozi wa Uyole Cultural Tourism Enterprises (Uyole Cte) Tulipotembelea Ofisi za chama cha waandishi wa habari za Utalii na Uwekezaji Tanzania (TAJATI). Tulipata wasaa wa kujadili mustakabali wa utalii na changamoto zake. ni maombi yetu kwa watu, taasisi na makampuni ya kitalii kuunga mkono juhudi zifanywazo na chama hiki cha TAJAT
Karibu sana Tanzania, Karibu Mbeya.
Picha na Rashid Mkwinda
Comments
Post a Comment