Waswahili husema tembea uone, Haya ni maporomoko ya maji kaporogwe maporomoko haya ni moja kati ya Vivutio vikubwa vya maparomoko ya maji vinavyovutia sana utalii mkoani Mbeya na Tanzania kwa ujumla ambacho kinavutia sana tena sana.
Eneo hili lenye kuvutia lipo katika wilaya ya Rungwe karibu na vijiji vya kisa na iponjola, ni eneo lenye kufikika na gari aina yeyote kutokana na uzuri wa barabara yake ya kutoka ushirika mpaka eneo hili la maporomoko.
Katika moja ya sifa za pekee sana za mahala hapa ni kuwa na hewa safi, muonekano mzuri na mandhari mwanana za milima milima pande zote, inayopambwa na milio ya ndege pamoja na kelele ya maji hayo, pia ni eneo lililozingirwa na mimeo yenye kijani chenye kupendezesha kama uonavyo katika picha mbali mbali za Maporomoka haya ya mto kala.
Muonekano mzuri wa maporomoko haya upo katika focus tatu (3) moja ni ile ya nje kabla hujavuka lango dogo la kuingilia pangoni (out side view) yenye kuonesha uzuri wa pango na maporomoko ya maji, ya pili ni ile ya ndani (inside view) hii ni view ya ndani ya pango ambayo ni nzuri unayoweza kuona bonde la mto kala kwa sehemu kubwa, view ya tatu ni ile ya chini katika kingo ambazo maji haya yanadondoka, uwapo hapa chini vimaji vyenye ubaridi vinapigwa na upepo hivyo kukurukia taratiibu ukikaa sana unaweza ondoka umeoga kabisa.
katika eneo hili kuna miamba mbayo ndani yake ni pango kubwa na Cha kushangaza ni ukubwa wa pango hili, linauwezo wa kuruhusu watu wasiopungua hamsini (50) na wasiozidi themanini(80) kuingia ndani yake na viti viwili kama vimbweta
Ubunifu siku zote huzalisha ugunduzi, eneo hili linaweza kutumika kwa njia mbalimbali kwa watembeaji kwa mfano: kufanyia party au picnic zinazobeba watu wachache chini ya ya watu 80 kama birthday party, na zingine ambazo huweza kuonekana kwa mtindo wa kipekee mwisho wa siku watu wakakuiga.
Kwa nini usimuliwe? Karibu sana UYOLE CULTURAL TOURISM ENTERPRISES ujionee kwa macho yako na ujifunze mengi na kuburudika uwapo maeneo haya.wasiliana nasi kwa simu 0783545464/0766422703.

Comments
Post a Comment