
Hema (Tent) likikunjuliwa mbele ya washiriki.
Mkurugenzi wa SANTATOM PRODUCTION bwana Thomas akipeana mkono wa heri na wiseman luvanda
Mwenyekiti wa kijiji bwana David Edward Mwangonela akimkabidhi wiseman baiskeli na tent kwa niaba ya ofisi yetu.
Erick ilomo (kushoto) alieratibu tukio akiwa katika picha ya pamoja na wiseman na team nzima ya santatom production.
Mwenyekiti wa kijiji akigonga chears na wiseman.
Elias ambae ndiye mshindi wa mbio za baiskeli zilizokuwa zimeratibiwa na chama cha baiskeli mkoa wa mbeya akiwa na mkurugenzi wa santatom production bwana Thomas.
Erick ilomo ambae ndie alikuwa mratibu wa tukio Zima, akizungumza kwa niaba ya ofisi yetu.
Mwenyekiti wa kijiji akikabidhi tent kwa wiseman.
Kelvin paul akiwa na Thomas.
Team nzima ya santatom production.
Kushoto ni obadia, elias, wiseman na Erick wakiwa ndani ya hema (tent) wakishoot kipande cha video.
Shukrani za pekee kwa mwenyekiti wa kijiji kukubali kukabidhi baiskeli na tent kwa niaba yetu, pia erick ilomo kwa kuratibu tukio zima, elias mshindi wa mbio za baiskeli zilizokuwa zimeratibiwa na chama cha baiskeli mkoa mbeya, shukrani kwa kuks no 2 radio presenter wa gmcl radio lakini pia shukrani za dhati kwa santatom production kwa kuhakikisha kumbukumbu ya video na picha inapatikana. Tunawatakia safari njema.
Comments
Post a Comment